Kuna mashirika kadhaa duniani kote yanayoendesha rilei za Tor.
Baadhi ya mashirika yamejitolea kwa lengo hili pekee na wanaitwa Muungano wa Rilei.
Hapa chini unaweza pata orodha ya mashirika yanayoendesha rilei.
Tafadhali tujulishe kama ungependa tuorodheshe shirika lako katika ukurasa huu.